Rushwa inachagua sura, Tendwa alisema jk alikiuka sheria mpya ya uchaguzi kwa kuwa alikuwa haijui pia haijajulikana vizuri,akamlinda hakuenguliwa kati ya wagombea,toka hapo nkajua iyo sheria haíiusu ccm bali wengine,sasa mkisemwa mwakalebela basi mmeisema ccm au ufisadi,na hapo tayari sheria iyo haimuhusu. Kwa kuwa Mwakalebela namtegemea awe Officer pale makumbusho ya Taifa pale karibu na ikulu/ifm, namuombea foleni njema ya kwenda na kurudi kutokea posta pindi atakapoukwaa ubosi wa Makumbusho ya Taifa. Gsana.