Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John Bocco lilikuwa ni Offside, mimi nilidhani ni beki wa Kagera kumbe ni John Bocco, Simba inafunga magoli mengi ya Offside" - Mwakalebela Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sc"
Haya ndio maoni ya kiongozi wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, anadai kuwa Simba inafunga magoli ya offside. Huyu jamaa nimeanza kumdharau sasa, hajui anachoongea, amechanganyikiwa sasa..
Haya ndio maoni ya kiongozi wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, anadai kuwa Simba inafunga magoli ya offside. Huyu jamaa nimeanza kumdharau sasa, hajui anachoongea, amechanganyikiwa sasa..