Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kaeni kwa kutulia nyie Vyura. Kwanza ukiondoa Point 6 za kupewa waz waz kwenye mechi mlishinda kimagumashi mnaizidi Simba point 2 tu. Lkn hapo Ligi ilipofika ndio mtajua nani mtoto wa Mjini.Goli la kwanza hata Mimi nilishangaa Sana ,offside flani hivi ni vile watu waliendelea kupeta tu
Morisson bora apeleke bangi zake jangwani.Kaeni kwa kutulia nyie Vyura. Kwanza ukiondoa Point 6 za kupewa waz waz kwenye mechi mlishinda kimagumashi mnaizidi Simba point 2 tu. Lkn hapo Ligi ilipofika ndio mtajua nani mtoto wa Mjini.
Leo mmeanza propaganda za Usajili wa Morrison, shauri yenu mtajikuta mnyama amebeba ndooo na mechi moja mkononi
Hatutakiwi kujadili chochote kuhusu Usajili. Tujadili kuhusu SIMBA KUTETEA UBINGWA WAKE. Msimezwe na Propaganda za kuwatoa mchezoni. Tuongelee Yanga anavyoenda kupoteza dhidi ya Dodoma Jiji na Mbeya CityMorisson bora apeleke bangi zake jangwani.
Mtaishia kunawa tu. Chakula hamtapata. Msosi utaliwa Unyamani . Shauri lenu. Yanga bila bahasha ya kaki haiwezi kuifunga hata s/m Nyankomogo wala Tingirima. Ukweli mchungu.Goli la kwanza hata Mimi nilishangaa Sana ,offside flani hivi ni vile watu waliendelea kupeta tu
Yanga akishinda mechi 4 tu bingwaKuna watu wanawadanganya yanga watakuwa mabingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mechi zimebaki 7 ambazo ni point 21.
Yanga kamzidi Simba points 8.
Unapata wapi kiburi Cha kuwapa yanga ubingwa?View attachment 2221686
Hayo magoli ya offside bahasha hazihusiki!?Mtaishia kunawa tu. Chakula hamtapata. Msosi utaliwa Unyamani . Shauri lenu. Yanga bila bahasha ya kaki haiwezi kuifunga hata s/m Nyankomogo wala Tingirima. Ukweli mchungu.
Yanga akishinda mechi 4 tu bingwa