Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 207
- 354
Ndaga kikolo,unauzavkwa nini kikolo!?Si upande maparachichi?Hakuna mashamba makubwa kwa kuwa maeneo mengi ni mashamba ya chai na miti. Pia wakazi wengi hugawana mashamba madogo madogo (imbaka au utupaka) kiukoo au kifamilia. Ni kama ilivyo uchagani, huwezi kupata shamba kirahisi. Ekari moja haiwezi kupatikana kwa mtu mmoja labda uunganishe watu wawili au watatu. Na Kandete ni mjini, si mashambani!
Binafsi nina shamba kijiji cha jirani Lugombo linakaribia ekari moja, nauza milioni 3. Kuna maji ya bomba, umeme wa REA hapohapo shambani na barabara. Maeneo hayo hulimwa sana maparachichi na hustawi sana hata kaeneo kadogo. Pia viazi mviringo huzaa sana!
Karibu sana Mwakaleli, bonde la neema, hali ya hewa safi, watu wakarimu na wacha Mungu
Inaweza kuwa km4-6hivi.Naona umekandia upande mmoja ili uupigie debe upande wako ila sio mbaya vp kutoka Kandete mpaka Lugombo ni km ngapi/muda gani?
Ndaga kikolo,unauzavkwa nini kikolo!?Si upande maparachichi?
Naona umekandia upande mmoja ili uupigie debe upande wako ila sio mbaya vp kutoka Kandete mpaka Lugombo ni km ngapi/muda gani?
kuna nini huko mkuu?Kandete, isange
Tununu,mimi nipo Dodoma,Mwakaleli nimekaa sana kwa babu na bibi Lusanje karibu na secondary ya kyejo,Ni kweli Kandete ni mji labda aende mbali,Luteba,Matamba nk.Momumo kikolo, loli nasamile kukaja. Lino ndi ku Sumbawanga kuno ikiisu kyeleefu. Utwa fyinja lelo?
Unafikiri kwanini mahakamani wanahitaji ushahidi...kwasababu kikubwa sio uelewa bali ni uthibitisho na ndo nnachokitafuta mkuu sio vinginevyoNenda ukathibitishe. Kama wewe ni mwelewa, kwenye miji hakuna mashamba bali kuna viwanja! Kandete is now a town centre na lami ipo. Nimetoa mfano wa uchagani, uliza kama kuna kijiji cha kupata hata nusu ekari.
Kandete mjini hadi Lugombo ni takribani km 1. Kwa pikipiki ni dk 10-15, kwa mguu ni nusu saa ukipita mkato. Mwakaleli yote ni kwetu, hivi sasa sina ambapo ni kwangu japo ni asili yangu na ni nimeishi vijiji vy
Mbona kuna mkuu anasema ni km1 tu??Inaweza kuwa km4-6hivi.
Sidhani kama yuko sawaMbona kuna mkuu anasema ni km1 tu??
Kandete, isange
Inaweza kuwa km4-6hivi.
🤣🤣🤣🤣 pole sana mkuu....sehemu ambazo hazijajaa makazi ya watu ni wapi? me ndo nakutaka huko...Isange nako kuzuri sana. Mandhari yake inapendeza mno hasa ukitazama safu za milima ya ujinga (Livingstone). Ila ni maeneo yaliyojaa makazi ya watu, hakuna mapori.
Nilizaliwa Tukuyu lakini nikalelewa na kukulia Mwakaleli. 2015 niligombea ubunge wa jimbo la Busokelo kupitia ACT-Wazalendo, nikagaragazwa vibaya na Mwakibete!
umeonaa kuna mkuu alitaka kuniingiza chaka...nahisi atakua ni dalali sio bureKm 4 ni hadi Masebe! Kumbuka km moja ni mita 1000 (elfu moja). Kandete Katumba ni km 30
Luteba na Matamba ndo mashambani sio?? kama ndiyo huko ndo mimi nakutaka kabisaaTununu,mimi nipo Dodoma,Mwakaleli nimekaa sana kwa babu na bibi Lusanje karibu na secondary ya kyejo,Ni kweli Kandete ni mji labda aende mbali,Luteba,Matamba nk.
Tununu,mimi nipo Dodoma,Mwakaleli nimekaa sana kwa babu na bibi Lusanje karibu na secondary ya kyejo,Ni kweli Kandete ni mji labda aende mbali,Luteba,Matamba nk.