Mwakaleli (kijiji cha Kandete) bei za mashamba zipoje ili nisipigwe?

oh now you are playing the good and humble guy in order to get sympathy from thread viewers, guess what still I dont care....all I know is that, you are so sick and desparate man....naona namna unavyoteseka na kutumia muda mwingi kuonekana mpole,mwenye hekima,mwenye akili ili jamii ikupende well I dont need that...ungekua mwenye hadhi kama unavyodai ungeshakaa kimya kitambo tu maana ungekua huna muda wa kupoteza ila kwasababu unazidi kunifatafata It proves that you are so sick and desparate vibayaa
 
Sawa mkuu nitakucheki ili tuyajenge kuhusu hilo eneo
Kila lakheri mkuu...huenda tukakutana Tukuyu maana napapenda sana japo sjawahi kufika...yani ni sawa na mtu anayempenda mwanamke facebook au Instagram
 
Pikipiki gani inatumia Dakika 10-15 kwa KM 1??
 
Hahahaaa mkuu nina imani utapapenda sana na huenda tukakutana maana mimi nilipafahamu miaka mingi kidogo nyuma
Kama kweli unaenda kulima parachichi....mbona naskia huwa zinachukua mpaka miaka2 kuanza kuzaa
 
Pikipiki gani inatumia Dakika 10-15 kwa KM 1??
Naamini unajua kuna barabara za viwango tofauti, hasa vijijini: zipo za lami, za matope, za mashimo, za vumbi, nk. Kuna miinuko mikali na mabonde.

Yote hayo huathiri mwendo wa gari au pikipiki ikiwemo uendeshaji wa mtu. Ingawa pia ubora wa vyombo na aina ya vyombo hivyo hutofautiana. Ndio maana ni makadirio tu! Kwetu Mwakaleli kuna lami kidogo tu kwenye mji wa Kandete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…