Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

Jamani hata mimi Nando kaniboaaaaaaaaaa, katia aibu nchi yetu yenye upendo na amani tele, watu wa huko nchi nyingine wanatushangaa Tanzania majanga teleeee, vijana kila pembe ya dunia wanakamatwa na madawa ya kulewa, na wengine umbeyaaaaaaa akina FEZA ndani ya BBA, na huyo nae violence Nando imemjaaa mpaka basi very stupid kids..Feza na Nando wameboaaa sanaaa bora tu warudi makwao wakagange njaa na kubeba madawa ya kulevyaa
 
Hivi ni lini huyu alipewa bendera kuwakilisha tanzania?

Huyu jamaa hana tofauti nakichaa.
 
Hivi ni lini huyu alipewa bendera kuwakilisha tanzania?

Huyu jamaa hana tofauti nakichaa.

kuna mdau amesema ndo matokeo ya wababa kuzaa nje ya ndoa, na wanaume kubaka watoto (mama yake amemzaa akiwa na miaka 14...... so wanaume mnashauriwa kuacha hizo tabia coz watoto wanakosa kuwa na maadili mema
 
mmh.majanga.ndo tatz la kupeleka wawakilishi wavuta ndumu kwenye mashindano ya kuiwakilisha nchi kimataifa.huyu dogo anastahili hii adhabu kwa sababu siku moja alikuwa anawasimulia house mates wenzake historia ya maisha yake iliyojaa utukutu wa hali ya juu.keshapurukushana sana na ndugu zake alipokuwa anaishi marekani akiwemo mama yake mzazi.bangi sana plus mapombe na totoz.alikuwa ni gangster haswa aliyekimbia kuishi nyumbani na kuishi kwenye mageto ya wahuni wenzie waliopoteza mwelekeo kama yeye.lakini baada ya kujuta na kuona mambo yanamwendea mrama ndo akaamua kurudi kwa ndugu zake.so mie sishangai hata kidogo kwa sababu jasiri haachi asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…