Mwakinyo: Anayetaka kupigana na mimi aje mazoezini nauli nitamlipia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Bondia Hassan Mwakinyo amesema bondia wa ndani ya nchi anayetaka kupigana nae aende mazoezini

Ametoa fursa hiyo kwa yeyote na kama mtu hana nauli atamlipia ili wajaribiane

Mwakinyo alishaweka msimamo wa kupambana na bondia yoyote wa ndani ya nchi
 
Wewe nenda... Kama huna nauli atalipa 😊
Nataka pambano langu la lake liwe laivu kwenye TV ili umma wa watanzania ujionee ninavyo mchakaza tena kwenye ukumbi mkubwa na sio mazoezini kwake ambapo nikimchakaza haitakuwa na maana mbwa yule
 
Nataka pambano langu la lake liwe laivu kwenye TV ili umma wa watanzania ujionee ninavyo mchakaza tena kwenye ukumbi mkubwa na sio mazoezini kwake ambapo nikimchakaza haitakuwa na maana mbwa yule
Kupigana naye kwa hivyo alishakataa nenda kafanye sparling mazoezini tu ujipime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…