Master Arcade
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 404
- 658
Mkuu, kwa MTU yeyote mfuatiliaji wa masumbwi anaelewa mbona. Watu hawapigani kama kuku bana au wagomviSababu za kijinga tu wala hazina mantiki kwa wapenzi wa boxer nchini
Sasa ameambiwa atapigana bure, na ndio maana mapromoter wanaweka mzigo kwanza na ukiridhia zinapigwaMkuu, kwa MTU yeyote mfuatiliaji wa masumbwi anaelewa mbona. Watu hawapigani kama kuku bana au wagomvi
[emoji1787][emoji1787]kwanauli yako amaMazoezi anafanyia wapi niende???
natamani kesho atandikwe ili ajue dharau hazifai ,ipo siku atatamani agombanie hiyo gari na hatapata hiyo chanceSasa ameambiwa atapigana bure, na ndio maana mapromoter wanaweka mzigo kwanza na ukiridhia zinapigwa
Twaha kiduku ukiachana na ile Athlete ila uliwekwa na mpunga ambao kila mtu alioupata
Kama ni ndg yako mwambie aache kipumbavu na heshima inaanza kuwekwa ndani ya nyumba na ndio unaanza kutafuta heshima nje
Na hapo ndio pana tatizo. Tuna mashabiki na si wajuzi na wapenzi wa masumbwi.Mkuu, kwa MTU yeyote mfuatiliaji wa masumbwi anaelewa mbona. Watu hawapigani kama kuku bana au wagomvi
Mimi naomba nitunze maneno yangu, yaani huyu siku yake inakuja Coz boxing kushuka viwango ni kitu cha kawaida sana halafu ni faster, siku yake inakuja huyu Mdigonatamani kesho atandikwe ili ajue dharau hazifai ,ipo siku atatamani agombanie hiyo gari na hatapata hiyo chance
Nendeni mkamwambie ndugu yenu heshima inaanza ndani ya nyumba halafu inafuata njeNa hapo ndio pana tatizo. Tuna mashabiki na si wajuzi na wapenzi wa masumbwi.
na wala asisingizie mkanda ,huyu jamaa anamwogopa Twaha Kiduku,hata kwenye ngumi mi navutiwa na Ibra Classic ,Mwakinyo kakaa kijanja janja tu hamna loloteMimi naomba nitunze maneno yangu, yaani huyu siku yake inakuja Coz boxing kushuka viwango ni kitu cha kawaida sana halafu ni faster, siku yake inakuja huyu Mdigo
halafu nashangaa anasemaje kiwango chake kitashuka wakati hawagombanii mkanda rekodi zinaingizwa wapi ?kwani rekodi nje ya mkanda inahesabiwa?Nendeni mkamwambie ndugu yenu heshima inaanza ndani ya nyumba halafu inafuata nje
Yaah Ibra classic na Mfaume Mfaumena wala asisingizie mkanda ,huyu jamaa anamwogopa Twaha Kiduku,hata kwenye ngumi mi navutiwa na Ibra Classic ,Mwakinyo kakaa kijanja janja tu hamna lolote
Hata mimi ndo huwa nakosa majibu hapo mkuuhalafu nashangaa anasemaje kiwango chake kitashuka wakati hawagombanii mkanda rekodi zinaingizwa wapi ?kwani rekodi nje ya mkanda inahesabiwa?
maboxer wengi wa kibongo wanapoenda nje hawasemi ,wakishinda ndo wanatangazaYaah Ibra classic na Mfaume Mfaume
Huyu Mwakinyo asilete ujanja ujanja halafu kwanini mapambano yake hatoki nje Coz ana muda mrefu hajapata pambano la kwenda nje ila amekuwa na ujanja wa kuongea na promoters wa bongo ili bondia wa nje aje hapa,
Aache ujanja ujanja una mwisho wake
Sema Mwakinyo siku zake zinahesabikamaboxer wengi wa kibongo wanapoenda nje hawasemi ,wakishinda ndo wanatangaza
Atabeba na mbeleko za wakina Mlundwa?aende nje akalete mikanda.
Mapambano ya ndani kashapigana Sana mpaka kufikia hapo sahivi kapanda juu kwaiyo anaangalia mbele kwenye mafanikio kupigana na kiduku au bondia yoyote wa tz ni kujishusha kwake kutokana na alipo yeye sahiviHuyu mwakinyo mshamba anatakiwa aweke heshima ndan kwanza majitambo tu kila siku