Mwakinyo asema alitaka kugoma baada ya waandaaji kutomuwekea sehemu ya kubadili nguo

Mwakinyo asema alitaka kugoma baada ya waandaaji kutomuwekea sehemu ya kubadili nguo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ambaye alishinda kwa KO dhidi ya Bondia Antonio Mayala wa #Angola pambano lililofanyika Mei 28, 2021

Mwakinyo amesema kwa mara ya kwanza angeweza kugoma kwa kutopanda uwanjani kutokana na waandaaji kutomuwekea sehemu ya kubadili nguo

Amesema masuala kama hayo yakitokea tena anaweza kugoma hata kama mgeni rasmi akiwa ni Rais. Amelalamikia suala la wageni kuwa waliwekewa maeneo ya kubadili nguo

Wageni Kutoka Afrika Kusini na nchi nyingine waliwekewa maeneo na yeye mwenyeji hakuwekewa eneo la kubadili nguo
 
Hata wakikwambia unavinasaba vya yanga, shikilia hapohapo. Maana wamezidi hao jamaa
 
Huyu jamaa wamtafutiage mapambano ya haya maana tusisifieee sanaaa
Alichokipta jongo jongo tumekiona .....

Na yule bondia mwingine aliyepigwa na M🇿🇦 yule mwamba alipigwa ngumi za akili sanaaa sema mwamba ana himili lkn alikula ngumi za uso huyooo yaan nikiangalia video clip huwa nacheka sanaa
 
Back
Top Bottom