Sure mwakinyo kapigwa sanaaWanashangilia hapa ila sisi watanzania tunaotamani usawa,Mwakinyo alizidiwa
Wazee wa kuchakachua kama kawa wamehusika hapa.Ukiona mahali kuna CCM tu tarajia chochote... Hata kama unaenda kula tunda kimasiara ukiwaona ccm tu anza kuogopa
Unamaanisha kuwa Mwakinyo kapiga goli la mkono?[emoji1787]Yaani Mwakinyo kashinda??
Wionders shall never end...
Nimeamini Jecha mchawi...
Inanikumbusha man pac na myweatherShida sio uwingi wa ngumi ila amepiga wap?
Mwakinyo alipiga nyingi za kichwani(uso) ambazo zina pointi nyingi
Hapo jamaa aliona hiyo mikamba ndio usalama wakeSasa usiku huu na daktari wapi na wapi na mtu umekula makonde ya mwaka
For sure he has won the fight.Ze filipino guy haz clearly bn robbed in zis fight
Muda wote anakimbia ring tuSure mwakinyo kapigwa sanaa
Ila sijui kapewaje
Hahaha!Acheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant
Nyumbani ni nyumbani tuMwaki kapigwa sema ndiyo hivyo yaani!!!
Yamkini, maana hakuna kisichowezekana chini ya juaNimebaki mdomo wazi...au kondaboy kapenyeza kimemo kwa majudge?[emoji23][emoji23]
Vipi kwani pambano limeishaje?Mwaki kapigwa sema ndiyo hivyo yaani!!!
Hatutaki fitnaAcheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant