Mwakinyo bondia mchovu kuwai tokea Tanzania

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wala sitetei hoja..napata breakfast hapa.muda huo sina...

Ila ukwel ndo huo....overrated

Kama kwa stamina ile anashindwa mkalisha mtu kama yule...bas ni kwel mwakinyo huu ndio mwaka wake wa mwisho...asipobadilika

Hawagus matumla .cheka hata robo

Uzi tayar....

Huu ni uzi bonus tuu...
 
Yule dada anayependa movie za kihindi weekend hii haibuki home hapo??
 
Unaona shida gani kumsifia mpinxani wake kuwa anajua ku guard japo kuwa kabobdwa vxzr tu?
 
Ila kwa style ya uchezaji wa Mwakinyo jana anahitaji kujifua zaidi..
 
yaan mwakinyo anaangushwa na mapromota wake, wanamuandaliaje mapambano yasiyomkuza? Alikuwa anashika nafas ya 18 aka drop mpaka 88..na anakoelekea atashika ya 200...jana kapigana na mkongo ambae mara yake ya mwisho kupigana ni 2017...lakin akashindwa kumuangusha..sasa jamaa mkongo angekuwa amepata mapambano hv karibun?
 
Watu hawaangalii unapigana na nani ,wanaangalia pesa tu
 
Ni kweli kuwa jana performance ya Mwakinyo haikuwa nzuri.
Anahitaji kujifua zaidi.
 
Mwakinyo anahitaji kujifua kwa kweli tena kujifua kweli mana sipati picha kwa uchezaj ule akienda kwa nchi za wapigaj ngumi sijui itakuwaje,kwa bondia mwingne makin tayar tulisha hesabu ushind wa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…