Mwakinyo na Kiduku hawaruhusiwi kisheria kupigana

Mwakinyo na Kiduku hawaruhusiwi kisheria kupigana

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Katibu mkuu wa kamisheni ya ngumi TPBRC, George Silasi amesema kuwa kwa sasa kamisheni ya ngumi haiwezi kuwaruhusu Mwakinyo na Twaha kiduku wapigane.

George Silasi amesema utofauti wa uzito ndio sababu ya mabondia hao kutokubaliwa kupigana na TPBRC.

Waache kurushiana shombo sasa...
Ka vipi wazipige uchochoroni
 
Tatizo Mwakinyo alikuwa anashindana mfumo, sasa hivi kila dili linalotokea lazima kuwe na figisu ili asifanikiwe, kwani Twaha si alishasema yupo tayari kupunguza uzito kwa ajili ya Mwakinyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom