Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Nimesikiliza interview moja muda si mrefu ya Mwakinyo ambaye ni bondia bora kwa sasa Tanzania na Africa pia.

Huyu jamaa jinsi media zilivyomu-attack baada ya ushindi wa juzi wa pambano ambalo lilifanyika hapa hapa bongo baada ya kumkalisha kwa TKO mpinzani wake.

Mwakinyo yupo tofauti sana na anaonekana mtu mwenye kujielewa sana na ana ndoto za kufika mbali.

Pia jamaa ana historia ya kupigana pambano lake la kwanza Botswana mwaka 2016 na hakufahamika na mtu.

Unaona kabisa kwanini jamaa pia hataki kupoteza sehemu aliyopo kisa pressure vya mashabiki.

Jamaa leo ndio nimemfahamu vyema kumbe si kama walivyomu-attack kusema ni bondia wenye majigambo bali ni bondia mwenye kujielewa na kujiamini.
 
Huyo Mwakinyo kuna sehemu amejiweka (ameji brand) anaudhamini mkubwa...anapanda ulingoni na wasanii wakubwa...zile mambo za kuitwa na Rais Magufuli Ikulu nini....ndo waswahili wamemind wanalazimisha apigane tu hata na mtu ambaye hana cha kupoteza (Twaha Kiduku) ili ashuke tu...si unajua tena bongo yetu.

Mwakinyo anawaambia waweke mzigo wa.maana...wanazunguka zunguka tu.Na sasa ndo wanamsakama na hizo anabebwa na nini na nini...kifupi wanamletea uswahili tu hao.
 
Mwakinyo Ni mwanamasumbwi anaejitambua na anaspirit ya kufika mbali na anajua kujibrand SEMA baadhi ya Watanzania Wana wivu Kama mnataka huyo twaha kiduku apambane na Mwakinyo wekeni mzigo wa maana au Twaha kiduku afight afike level za Mwakinyo Kwanza.
 
Mwakinyo kama upo humu au Kuna mtu wako wa karibu alieko humu, nakwambia kuwa FOCUS KWENYE SAFARI YAKO KULE UNAPOTAKA KUFIKA NA SIO WATU WANAVYOTAKA.

watz hajwawezi, ukifanya hili wanataka lile, uoifanya lile watataka hivi.

Mfano mzuri, Magufuli anafanya yale wapinzani waliyokuwa wanalalamikia kipindi Cha Jk, lakini bado wanapinga tu
 
Sema inabidi afanye mazoezi sana ya kuboresha uzito wa ngumi.... Kwa bondia hata Kama unashinda mapambano mengi lakini Kama unaweza kumpiga mtu hata ngumi 5 mfululizo bila kumkalisha huo ni udhaifu, kawaida ngumi mbili tu mtu anatakiwa akae
 
Kwanza yeye na twaha hawalingani uzito twaha ana kilo nyingi..

Mwakinyo akimpiga twaha hapati wala kupanda rank yoyote..
Huku twaha akimpiga mwakinyo anapanda rank..

Think
 
Kwanza yeye na twaha hawalingani uzito twaha ana kilo nyingi..

Mwakinyo akimpiga twaha hapati wala kupanda rank yoyote..
Huku twaha akimpiga mwakinyo anapanda rank..

Think
uzito saw , wote 69, ila twaha alipanda uzito sababu ya dullah, ila uzito wake rasmi n 69, afu pia mwanzo twaha alimtaka mwakinyo km mabondia wowote dunian wanavyotakana so akuchukulia kwa ubaya japo mwakinyo kachukulia km ubaya na kuanza maneno ya kanga , baada ya ivo twaha akawa analiweks sawa ili jambo asionekane km mmbaya ila media na baadhi ya watu na upande wa mwakinyo wakazidi kulifanya km twaha n anataka kumshusha, basi twaha ameamua km ubaya ubaya tu , mwakinyo ni mnafki, kuna maneno alimwambia twaha zidi ya dullah, afu akiwa upande wa dullah anabadilika afu anadharau mabondia wote wakati hadi mwezi uluopita pound for pound yaan bondia anaongoza kwa uzito wowote yaan kwa jumla namba moja Tanzania ni alikuwa ibrahimu class na hatujawahi kumsikia akiwaona wenzake ni wadhaifu... aache maneno ya kanga
 
Hayo yote ni kwamba shida mwakinyo amekataa kupigana na kiduku?
Umesema mwenyewe mwanzo kiduku uzito sawa na hassan? Lakini kwa sasa uzito wake si ni mkubwa? Watapigana vipi?
Kwanza hata miili haiendani kabisa kiduku ni jitu..
Siku hizi watu wanapigana kwa malengo tambo zimepitwa na wakati..
Mwakinyo yeye akimpiga kiduku atapanda rank gani?
Kiduku akimpiga mwakinyo anamporomosha chini .

Hata ungekuwa wewe usingekubali
 
kama aliweza kupanda uzito bas ni rahis kushuka pia, ila nachosema kuwa sio ukitakiwa upigane, hata marekani utakuta bondia anatakiwa na mtu ila anaangalia malengo yake, lkn ukileta maneno ya shombo shombo ilo ndo tatizo, mm sina tatizo na mwakinyo kukataa kupigana na sababu zake za mwanzoni nilizielewa ila kukataa mkono wa twaha kweny pambano lake la juzi na baadae kutoa kashfa mixer kujitapa km bora peke ake ilo ndo tatizo kwangu , km kwako sawa basi sawa.
 
Back
Top Bottom