Mwakinyo vs Tinampey

Mwakinyo vs Tinampey

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo.

Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
 
Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo.

Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
Yaani kama Nchi tumetia aibu...na mchezo wa Ngumi unaweza kujizika rasmi... Mwankinyo kabigwa live mbele ya macho ya Dunia na sisi Watanzania wazalendo tumeshuhudia live...
 
Back
Top Bottom