W wakimataifa. JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 1,625 Reaction score 558 Nov 30, 2019 #1 Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo. Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo. Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
WAKO WAPI WATU WAKO JF-Expert Member Joined Sep 26, 2017 Posts 2,373 Reaction score 3,139 Nov 30, 2019 #2 wakimataifa. said: Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo. Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo? Click to expand... Yaani kama Nchi tumetia aibu...na mchezo wa Ngumi unaweza kujizika rasmi... Mwankinyo kabigwa live mbele ya macho ya Dunia na sisi Watanzania wazalendo tumeshuhudia live...
wakimataifa. said: Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo. Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo? Click to expand... Yaani kama Nchi tumetia aibu...na mchezo wa Ngumi unaweza kujizika rasmi... Mwankinyo kabigwa live mbele ya macho ya Dunia na sisi Watanzania wazalendo tumeshuhudia live...