Mwakinyo vs Twaha Kiduku. Hili pambano linapigwa lini?

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4,729
Reaction score
10,500
Nimesikia sikia kuwa mwaka huu kuna huu mpambano. Mwenye habari kamili tafadhali. Ikiwemo kuthibisha kama wako uzito unaoendana
Mwakinyo vs Twaha kiduku
 
Mwakinyo anakwepa mapambano ya ndani hofu yake akibondwa heshima yake itashuka ndo maana akiombwa pambano na mabondia chipukizi wa ndani anataka mil 200 ndo apande ulingoni kiuhalisia ni kama anatumia njia hiyo kukimbia kipondo kwa mabondia wadogo ili heshima ibaki kwamba hapigiki ila kiukweli anachapwa vizuri tu
 
Mwakinyo siyo mjinga akubali kipigo,pia wanacheza uzito tofauti
 
Sasa hao wa ndan c wapandishe viwango vyao nao wapigane na wazungu wawachape wafikie level za mwakinyo ..... Yaan unataka professional boxer apigane kama mtu wa uswahilin kisa maneno ya wapuuz ambao hata boxing hawajui


Jiulize ww ungekuwa meneja wa mwakinyo ungejubali??
 
Chifu wewe unaonaje?
 
So ukipigwa na kushushwa vyeo ni sawa tu ila mtonyo uingize sio? Haina noma
Hakuna mtu anaingia kwenye ulingo kupigwa ila pambano la mwakinyo na twaha ...Twaha anakuwa ndo ana advantage kuliko mwakinyo kwa sababu akishinda mwakinyo hakuna chochote atakachopata lakin akishinda twaha atapanda viwango sana

Angalia pambano la andy Ruiz na Joshua nan alilipwa pesa ndefu
 
Siku akipigwa Mwakinyo itakuwa poa sana. Hii ni kwasababu ya kumdhihaki snake boy. Halafu anadharau sana.
 
hawawezi mkuu niwahuni tu sio wanamichezo. bongo Hakuna bondia wakufanana namwakinyo nanivzuri akijitenga nao
 
hawawezi mkuu niwahuni tu sio wanamichezo. bongo Hakuna bondia wakufanana namwakinyo nanivzuri akijitenga nao
Wabongo tuna kama kauchaw flan hv yaan mtu akiwa above average kidogo tunachukia tunataka wote tuwe level moja sasa hv watu wanaomba huyo mwakinyo apigwe ili aonekane cyo chochote.....kesho huyo twaha naye akifika level za kimataifa wataanza kumchukia na yy
 
Twaha atafute mapambano ya nje yampandishe ndio aje apambane na Mwakinyo
Naunga mkono wadau hata ningekuwa mimi Mwakinyo nisingekubali kupigana ngumi kwa sifa za mtaani tu
 
Twaha atafute mapambano ya nje yampandishe ndio aje apambane na Mwakinyo
Naunga mkono wadau hata ningekuwa mimi Mwakinyo nisingekubali kupigana ngumi kwa sifa za mtaani tu
uzito wapo tafauti.watapigana vip pia humu kuna watabir wanaweza jua pia cku ya kufa ya Mwakinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…