Mwakubusi kasema ukweli hapa

Mwakubusi kasema ukweli hapa

Nilitegemea Pascal na wewe uweke inputs zako hapa.
Mkuu SAGAI GALGANO , sometimes ukijiona unatofautiana na Mkuu wako kwenye matters of principles, unaamua bora unyamaze usije kumdhalilisha boss wako!.

Inaonekana Rais wa TLS ni miongoni mwa wale viongozi ambao hawakupita jeshi, hivyo hawajui jeshi linaongozwa kwa commands, ukipewa amri halali, fanya hivi, wewe ni kutii tuu amri na kutekeleza bila kuuliza lolote, kwasababu mtu answerable sio mtekezaji bali ni aliyetoa command!.

CinC anazungumza in public kuwa vita vya kiuchumi ni mbaya sana, huwezi kuwa msaliti ukaachwa hivi hivi!, akatoa maelekezo kinachofanywa kwa wasaliti vitani!, askari kukataa amri halali ni insubordination, insubordination uraiani na serikalini ni summary dismissal, insubordination jeshini, ni "there and then on the spot!", sasa rais wa TLS anasema askari akatae kutekeleza amri halali?!.

Hata wale wazee waliosoma Albadir Tanga, niliwashauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
P
 
Back
Top Bottom