wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Waziri ametoa nafasi kwa BMT, Kama BMT wataona ina faa wata washirikisha TFF. BMT ikisha toa maamuzi, TFF hawatakua na jinsi watakua wakifuata muongozo wa BMT kwamaana inakua kama Sera ya michezo kwa Tanzania. Tff,Caf wala Fiffa hawata li ingilia hilo.Waziri wa matamko tff ni chombo kinachojitegemea BMT hawawezi kuwaingilia
Hapo watakuwa wameingilia tff BMT ni chombo cha serikali wakati tff ni chombo huruWaziri ametoa nafasi kwa BMT, Kama BMT wataona ina faa wata washirikisha TFF. BMT ikisha toa maamuzi, TFF hawatakua na jinsi watakua wakifuata muongozo wa BMT kwamaana inakua kama Sera ya michezo kwa Tanzania. Tff,Caf wala Fiffa hawata li ingilia hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
SijakuelewaHapo watakuwa wameingilia tff BMT ni chombo cha serikali wakati tff ni chombo huru
Serikali inaweza kuingilia kama kuna jinai kama issue ya kina malinzi ilivyokuwa lakini haiwezi kuingilia kwenye maswala ya kanuni za mpira
Usichanganye mambo swala la idadi ya wachezaji kila nchi ina mpango wake. Tff wanachoweza kufanya ni kuiomba serikali, Wakilazimisha Waziri wa michezo anao uwezo wa kuishauri serikali ao wachezaji kutoka nje wakanyimwa vibali vya kazi au wakapewa kwa idadi ambayo serikali inataka.Serikali inaweza kuingilia kama kuna jinai kama issue ya kina malinzi ilivyokuwa lakini haiwezi kuingilia kwenye maswala ya kanuni za mpira
Wewe uelewa wako ni mdogo mimi sizungumzii idadi ya wachezaji nachozungumzia ni serikali kuingilia maswala ya tff kuhusiana na kanuni usichanganye MamboUsichanganye mambo swala la idadi ya wachezaji kila nchi ina mpango wake. Tff wanachoweza kufanya ni kuiomba serikali, Wakilazimisha Waziri wa michezo anao uwezo wa kuishauri serikali ao wachezaji kutoka nje wakanyimwa vibali vya kazi au wakapewa kwa idadi ambayo serikali inataka.
Baadhi ya nchi zina sera ya idadi ya wachezaji kutoka nje. Mfano Misri. Fifa wenyewe kuna kipindi walitaka wachezaji wageni katika timummoja watakao cheza uwanjani wasizidi Watano ili kuinua vipaji vya wazawa. Sijui plan yao ili ishia wapi ila Mabeberu wa ulaya waliona ni uwendawazimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo dhambi BMT kuangalia namna ambayo itaboresha michezo Tz .Hapo watakuwa wameingilia tff BMT ni chombo cha serikali wakati tff ni chombo huru
Hii Hoja ya Mwakyemembe huwa haina mashiko kabisa na inapaswa kutolewa na amateur tu.Wasalam wadau wa michezo.
Waziri wa Habari, Michezo Sanaa na Michezoi, amelitaka Baraza la Michezo Tanzania kuangalia namna ya kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu ya Tanzania.
Amesema haya wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2020/21
Kama mdau, nini maoni yako juu ya kauli hii?
Karibuni kwa mchango. Waziri Mwakyembe ataona hapa.
Sent using iphone pro max
Hicho anachokitaka Mwakyembe kinafaa kufanywa katika amateur league na siyo professional league.Usichanganye mambo swala la idadi ya wachezaji kila nchi ina mpango wake. Tff wanachoweza kufanya ni kuiomba serikali, Wakilazimisha Waziri wa michezo anao uwezo wa kuishauri serikali ao wachezaji kutoka nje wakanyimwa vibali vya kazi au wakapewa kwa idadi ambayo serikali inataka.
Baadhi ya nchi zina sera ya idadi ya wachezaji kutoka nje. Mfano Misri. Fifa wenyewe kuna kipindi walitaka wachezaji wageni katika timummoja watakao cheza uwanjani wasizidi Watano ili kuinua vipaji vya wazawa. Sijui plan yao ili ishia wapi ila Mabeberu wa ulaya waliona ni uwendawazimu.
Sent using Jamii Forums mobile app