Mwakyembe aitumia TAKUKURU kumng'oa Jamal Malinzi TFF?

Hii itakuwa kama kipindi kile BMT ilipomchoka Alhaj Ndolanga maana ilibidi nguvu ya ziada itumike ili kumtoa jamaa.



Hivi Joseverest huna interest na soka la bongo?!
Sio BMT ni FAT
 
Ubadhirifu umejulikana kipindi cha uchaguzi tu? Baada ya uchaguzi kama malengo yakitimia ya kupachika makada wa chama utasikia DPP anawafutia kwa nolle prosequi
Naon una interest na mali ya nzi ID yko tu inaonesha na km hjui hzo tuhuma alipewa toka mda sana kbla ata ya mchakato wa uchaguz kuanz ..
 
mkuu hata BLATTER aling'olewa na serikali kwa kashfa ya rushwa,acha kudanganya watu,Malinzi atakaa ndani mpaka usaili upite ili asiwe mgombea
Hakung'olewa na serikali alitolewa na kamti ya FIFA acha kutuongopea bwana.
 
Acheni Takukuru wafanye kazi yao hili la kumsingizia Mwakyembe mnataka kuhamisha mada sehemu isiyohusika
 
Acheni Takukuru wafanye kazi yao hili la kumsingizia Mwakyembe mnataka kuhamisha mada sehemu isiyohusika
 


TFF YA BUKOBA NDIO BASI TENA WAHAYA WAKAE PEMBENI
 
Akitoa rushwa na kutumia madaraka vibaya tu aachwe tu!! Acha ashughulikiwe tu...!!
 
Acheni Takukuru wafanye kazi yao hili la kumsingizia Mwakyembe mnataka kuhamisha mada sehemu isiyohusika
 
Ina maana zile kashfa zote ni uongo?
Na je, aachwe kisa tu inaonekana kisa uchaguzi?
 
Msisahau kuwa hata Mwakalebela aliwah kukamatwa kwa tuhuma za Rushwa kwenye Masisiem yao huko Iringa
 
Mimi nataka nijue takukuru wakikushikilia wanakuweka wapi? Maana hawana rock up au mimi sielewi!! Na sheria inasemaje, takukuru mpaka wakushikilie ina maana wanauhakika au?
 
Reactions: SDG
Wamng'oe tu nakubaliana na Mwakyembe. Uyu Malinzi kaua soka letu,kaweka pesa mbele kama mwanaccm.
 
TFF mpaka leo imeshindwa kuhakikisha inakusanya mapato kwa kutumia mashine za ki-elektroniki.
Serikali ilishaagiza kuwa makusanyo katika mechi zote za mpira,ili kudhibiti mapato zitumike stakabadhi za Elektroniki, badala yake kila siku chama cha mpira kipo katika madeni yasiyoisha.
Na timu za mpira hazijatengenezewa mfumo wa kujiendesha,kwa kuwa na mifumo ya kisasa ya uendeshaji.
Bora mabadiliko yaingie TFF.
Lakini ukiona mtu anatumia fedha na nguvu nyingi kupata nafasi ya madaraka ujue,lazima kuna kurudisha gharama alizozitumia,au ni kujinifaisha na nafasi aliyoipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…