Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hahaha hao ndio wazalendo anaowasema mkulu.hakika haya ndiyo mafanikio ya serikali ya awamu ya 5.
Na hili walijadili kwenye baraza la mawaziri ndiyo wakatoka na hili azimio la kukoleza hii bifu.
Anaongea yeye.......Mimi huku naona aibuWaziri wa michezo na sanaa Harisson Mwakyembe amesemabifu la Diamond a Ali Kiba liendelee zaidi kwa kuwa linaleta ushindani
wangeendeleza zaidi huoushindani na hakuna haja ya kuwasuluhisha
Hahahahahahhakika haya ndiyo mafanikio ya serikali ya awamu ya 5.
Na hili walijadili kwenye baraza la mawaziri ndiyo wakatoka na hili azimio la kukoleza hii bifu.