Mwakyembe hongera lakini....

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Viongozi wote wanaweza lakini wewe umewazidi kitu kimoja UZALENDO. ili hao wenzako wenye mahisa mazito katika makampuni ya usafirishaji wanaoumiza kazi nzuri ya mzalendo mwenzako Dr. Magufuri, fikiria kubnafsisha treni. jenga reli nzuri na na imara hao wenye mapesa wanunue treni zao za kusafirisha watu na mizigo serikali ibaki kutoza kodi. Wadau hili haliwezekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…