Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa!
Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
 
Ukitaka kujua haya matokeo ya Law school ni ya kweli kabisa Wala usipate tabu ndugu.Fuatilia mahojiano ya live kwenye tv ya hawa vijana wanaojiita wasomi wenye 30s to 40s na early 50s wenye degree ni utajua taifa limekwisha!!
 
Nafikiri Suluhisho Pekee la kuepukana na hii aibu ni;
Kupandisha pass za kujiunga The low school zifike angalau 4 GPA
Hapo ndio wengi watafaulu kwani watajiunga watu wenye ufaulu wa juu walio tayari kuwa ma judge
 
Low school? [emoji849]
 
Wananchi wa Kyela ndio waliogundua kuwa ni mtu wa hovyo na kumtosa kama Mbunge!!
 
Nafikiri Suluhisho Pekee la kuepukana na hii aibu ni;
Kupandisha pass za kujiunga The low school zifike angalau 4 GPA
Hapo ndio wengi watafaulu kwani watajiunga watu wenye ufaulu wa juu walio tayari kuwa ma judge
nakwambia tatizo ni walimu, hawataki watu waingie kwenye profesion hiyo. Tatizo si wanafunzi. kwani wanafundisha nini ambacho mtoto hawezi kukisoma akakielewa. hata wao ukiwatungia maswali ya kukomoa watafeli. Wengi wao ni mawakili, mbona wanashindwa kesi kishenzi? nawafuatilia sana, bure na wao
 
Ukitaka kujua haya matokeo ya Law school ni ya kweli kabisa Wala usipate tabu ndugu.Fuatilia mahojiano ya live kwenye tv ya hawa vijana wanaojiita wasomi wenye 30s to 40s na early 50s wenye degree ni utajua taifa limekwisha!!
weka link please
 
Back
Top Bottom