Mwakyembe: Utake usitake, Diamond ni balozi wa Tanzania kwa kila kitu

Huyu Mwakyembe anakoelekea ataokota makopo......

Siku hizi anaongea Ujinga sana!
 
kwa hiyo diamond anatuwakilisha watanzania na visarawili vyake anavyovaa..??huyu waziri boya nini?

Inaelekea ile sumu waliomlisha ya Polonium bado imo mwilini!!
 
Unafiki mtupu
Alipokuwa Waziri wa mawasiliano aliomba polisi wakasachi nyumbani kwa Domo kutafuta madawa ya kulevya.
 
Tunashukuru diamond kwa kutuwakilisha kimataifa hata hatutaki uwakilishi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…