mwali wa giningi
Member
- Nov 14, 2013
- 67
- 42
Hodi wanajamvi ,naomba kupokelewa kwa mikono miwili ili niwape ya kwetu giningi
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Mkuu Kaizer, Giningi ni sehemu mojawapo ya kisiwa cha PEMBA ambapo ni Makao Makuu ya wachawi. Haahahaaa!! Unakujua Pemba Mkuu? Katika uhai wake mwalimu Nyerere alikwenda Pemba mara moja tu, kisa ni kuogopa Giningi.
Aisee.....kumbe ni Pemba, sijawahi kweli kufika, nimeishia Zanzibar tu.....hao wanaweza kushindana na wale wa Gamboshi Bariadi?
Mkuu Kaizer, Giningi ni sehemu mojawapo ya kisiwa cha PEMBA ambapo ni Makao Makuu ya wachawi. Haahahaaa!! Unakujua Pemba Mkuu? Katika uhai wake mwalimu Nyerere alikwenda Pemba mara moja tu, kisa ni kuogopa Giningi.
Kumbe ni Pemba....?? Nitafika siku moja nione kunafananaje.
Nipo safi kaka, kwema lakini?Kaka Mkubwa salama? Take care Giningi kuna mambo makubwa. Mimi mwenyewe kumenishinda. haahahaaa.
Nipo safi kaka, kwema lakini?
Kwema sana tu, karibuni nitakuwa home sweet home.