Wakuu, Habarini ya majukumu. Napenda kuwakaribisha katika EDMARKTANZANIA 1ST CROWN RECOGNITION AND CAR AWARDING CEREMONNY kumpongeza mwenzetu RED JOEL aliyefanikiwa kupatazawadi ya gari katika kampuni ya EDMARK. Mahali: GOLDEN JUBILEE TOWER, pemebeni ya PPF Tower, nyumaya Posta mpya. Lini: Kesho JUMAMOSI YA TAREHE 26/10/2013 Muda: Kuanzia saa 7 mchana. HAKUNA KIINGILIO. NIBURE KABISA. KARIBU TUFURAHI PAMOJA KARIBU UJIUNGE NA TIMU YA WASHINDI KUWA TOFAUTI. BADILI MTAZAMO WAKO. Kwa mawasiliano: Dotto Miraji 0713 366 473 au 0767 277 223