Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

Kheri nawee rafiki ako kaualika sahani 1 ya wali, sisi wengine rafiki zetu wamezima cm hawapatikani kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee!

Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.?

Aisee umenifunza kitu.
Yawezekana huwa mna utani.Hata hivyo,kwani ukipewa sahani moja inayobeba chakula chenye wingi wa lita nne bado hakikutoshi?Usihesabu sahani moja.Jali ujazo wenyewe.
 
Nenda mkuu sinia kwao ndo sahani ila ujue kukaa chini.
Japo mi kula nikiwa nimekaa chini vile nilivyo mrefu mwembamba😨😨😨siweziiii
 
Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee!

Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.?

Aisee umenifunza kitu.
Tuache kuzusha mambo, mimi jirani yangu mwislamu ametuma mtoto kaniletea mguu wa mbuzi.

Waislamu wanaojuwa dini na kuifuata ni watu wema na wakarimu sana.
 
weejamaa sijui nimekufananisha au vipi🤣🤣🤣wesio yule unaesemaga waisilamu nimagaidi,?😁😁😁
 
Kuna waislamu na wachilamu, hawa wamejaa chuki na kwa wasio waislamu kila kitu kwao ni udini ndio wanatanguliza.

Note nilichandika waislamu wanaoijuwa vizuri dini yao ni wakarimu sana.

Leo Markaz wanagawa nyama nenda uone wale waislamu kanzu wanachukuwa viroba vya nyama kwenda kuuza.
 
hao wanaenda kuuza itakua niwahini waliovaa kanzu kama wale wanaoenda kuswali mwezi waramazani swala yamaghalibi tuu🤣kwalengo lakula futari
 
Kuna waislamu na wachilamu, hawa wamejaa chuki na kwa wasio waislamu kila kitu kwao ni udini ndio wanatanguliza.

Note nilichandika waislamu wanaoijuwa vizuri dini yao ni wakarimu sana.

Leo Markaz wanagawa nyama nenda uone wale waislamu kanzu wanachukuwa viroba vya nyama kwenda kuuza.
Huwa wananishangaza sana hao wanaopewa nyama/mchele bure halafu wanaenda kuuza.Ni umasikini sana.
 
Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee!

Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.?

Aisee umenifunza kitu.
unahangaika nini na sikukuu za kipagani? Kama leo huna kazi pumzika sehemu unayopendelea
 
Tuache kuzusha mambo, mimi jirani yangu mwislamu ametuma mtoto kaniletea mguu wa mbuzi.

Waislamu wanaojuwa dini na kuifuata ni watu wema na wakarimu sana.
Aisee ndio vile tu niko mbali na maskani. Ila siku kama hizi misosi huwa inamiminika hadi sio poa. Much love kwa Waislamu wote, hatujawahi kubaguana iwe Idd iwe Christmass. Nawakumbuka sana jirani zangu.
 
Back
Top Bottom