Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,035
haya nayo ni matumizi mazuri ya jf kila la heri.
All the best[emoji1434]
Ahaa acheni haya mambo mtaaribu. Leo kule Ruvuma Dr.Ndalichako kampongeza Rais Magufuli kwa kuifanya elimu kuwa ni kipaumbele chake, Wamezindua chuo cha VETA huko Namtumbo.
Kwanini Msisubiri akajenga hayo madarasa huko Rorya? Haraka yenu ya nini Muachieni mwenzenu apige show. Mkijenga hatofanya ziara kuja Rorya, Muacheni ajenge ili siku moja afike kuzindua, nyie vipi? Haraka ya nini, kwani hao wanafunzi wansomea wapi kwa sasa? waendelee humo humo tu, vumilieni msiharibu show za watu jamani. Akairo asiwe na wasiwasi, kama ni ubunge atashinda tu, ccm itagombea na TPP, unategemea nini?.
Pelekeni maombi yenu kwa ndalichako atamwambia bosi wake na ikishindikana kuna kipindi cha shilawadu, anakiangalia sana pitisheni huko tangazo akiona atajenga shule nzima sio vyumba viwili vya madarasa.
Mkuu, nawapa heko na kuwatakia kila la heri na mafanikio. Wenzetu wa Kas walianza zamani na wanaendelea na Harambee. Lkn kupitia siasa wanatudanganya kuwa hiyo ni kazi ya S'kali ili waendelee kuwa vichwa na sisi mikia.
Kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli tumeamua kuikomba jamiii yetu sisi wenyewe
Kuna jamaa anasema uchumi unakua serikali ina pesa za kutosha.Anatembea na fuko la pesa anagawa pesa mwenyewe leo kagawa 31bn huko ruvuma nawashauri mpeni ziara huko atawagaia hizo za madarasa.MWALIKO WA HARAMBEE UJENZI WA MADARASA SHULE ZA SEKONDARI TARAFA YA SUBA JUMAPILI TAR. 07.04.2019 SAA 8:00 MCHANA UKUMBI MKUBWA WA KARIMJEE DSM.
UMOJA WA MAENDELEO WA WANANCHI KUTOKA TARAFA YA SUBA KWA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA UNAPENDA KUWAALIKA WANANCHI WOTE KUTOKA TARAFA YA SUBA, WILAYA YA RORYA, MKOA WA MARA, MARAFIKI NA WADAU MBALIMBALI WA MAENDELEO KUSHIRIKI KATIKA HARAMBEE INAYOLENGA KATIKA KUBORESHA MIUNDO MBINU YA SHULE ZA SEKONDARI PAMOJA NA MADARASA KUWEZESHA VIJANA WALIOSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2019 KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA KUJIUNGA NA SEKONDARI.
MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE HIYO ANATARAJIWA KUWA MBUNGE JIMBO LA RORYA AKIAMBATANA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA NA WAGENI WENGINE.
TUNAWAALIKA KUHAMASISHANA NA KUWASILI UKUMBI MKUBWA WA KARIMJEE ULIOPO DAR ES SALAAM MAENEO YA POSTA KARIBU NA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA MKABALA NA MAKUMBUSHO YA TAIFA.
UCHANGIAJI UNAWEZA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIFAA VYA UJENZI AMA FEDHA.
NAMBA YA KUCHANGIA NI:
MAENDELEO - SUBA EDUCATION FUND 0150 431 738 01 - BENKI YA CRDB.
TUNAWAKARIBISHA NYOTE:
MSIMBETE LUCAS- MWENYEKITI WA UMOJA
KWA MAWASILIANO
0755-207676
0712-263526
MSIMBETE LUCAS - MWENYEKITI WA UMOJA
+255762501187 -
SHASHA NSHOYA -
MWENYEKITI KAMATI YA MAANDALIZI
+255753254595 -
PILLY MARWA - KATIBU KAMATI YA MAANDALIZI
0754711027
NICHOLAUS SHAGHINA - MHAZINI WA UMOJA.
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€```
View attachment 1063170
Kuna jamaa anasema uchumi unakua serikali ina pesa za kutosha.Anatembea na fuko la pesa anagawa pesa mwenyewe leo kagawa 31bn huko ruvuma nawashauri mpeni ziara huko atawagaia hizo za madarasa.
Kwanza hapo kwenye harambee ulichangia tuu pesa nyingi TRA hawa hapa wanahakikisha wamekufilisi
Hali mbaya ya uchumi tegemea michango hafifu.Wafanyabiashara ndiyo wenye pesa na wao mfano kina Zakaria wamefunga biashara zao unategemea nini?eti wanyonge tusaidianeMkuu serikali inamambo mengi.....ukisema uisubiri utajikuta kila Kitu uko nyuma