Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama EAC na Sweden

Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama EAC na Sweden

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
TANGAZO MUHIMU

Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Sweden utakaofanyika Tarehe 9 Mei hadi 11 Mei 2023 Nchini Sweden.

IMG-20230504-WA0081(2).jpg
 
TANGAZO MUHIMU

Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Sweden utakaofanyika Tarehe 9 Mei hadi 11 Mei 2023 Nchini Sweden.

View attachment 2609254
Asante lakini tangazo lenu limechelewa mno.

Kwa siku 6 zilizobaki hata kama mtu akitaka kushiriki anapata wapi:-
1. Visa
2. Nauli
3. Gharama za malazi nk
?????

Siku nyingine muwe serious na muwe wazalendo kweli sio "geresha"
 
Back
Top Bottom