ANJOA CPN
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 285
- 51
Kampuni ya Crystal Clear Software Ltd kwa kushurikiana na kampuni ya Get up Tanzania Co. Ltd na Anjoa Co. Ltd inakuletea mafunzo ya siku moja ya matumizi ya program ya mikopo inayoitwa Loan Performer bure.
Loan performer ni program ya mikopo ya aina yake. Inatumika katika inchi zaidi ya 50 duniani kote. Kwa Tanzania, zaidi ya taasisi 26 zinatumia program hii. Ni software ambayo inahudumia mikopo binafsi na vikundi, inaruhusu kuweka akiba na kutoa, inaruhusu kuuza hisa, ina uwezo wa kuunganishwa na Mpesa na Tigo pesa ili mteja alipe mkopo kwa Mpesa au Tigopesa.
Program hii ina uwezo wa kutoa ripoti za kihasibu na ripoti za portfolio zaidi ya mia mbili. Nadiriki kusema hii ni program ambayo hupaswi kukosa kwa ajili ya taasisi yako.
Walengwa ni makampuni ya mikopo na Saccos.
Ili kuhudhuria mafunzo haya, Tuma jina la kampuni au Saccos na namba za simu na majina ya wawakilishi wasiozidi wawili watakaohudhuria mafunzo hayo bure. Mafunzo yatafanyika tarehe 01/10/2016 saa tatu mpaka saa tisa jioni. Mahali ni msasani, Dar es Salaam katika ofisi mpya za Anjoa.
Mawasiliano: Email: lpfconsultant@yahoo.com or by Mobile 0759-692024 or 0752-115528