Jana kaniacha hoi akisema simba wanatumia kushambulia kwa kutumia aggression maana wamewafanya stand warud nyuma muda wote ivo kufanya technics zao Zi prove failureHaaa haaa lijamaa limepinda kweli
Kashasha kapatikana na radio Tanzania kwenye bonanza kule kibaha Maili mojaKuna vipaji vingi havijagundulika mtaani!
Das ist Kapurtdeuscht velle= Deutsche Welle
Imeishia wap hii timuKisarawe United
Nimeipenda avatar yakonalijua soka siwezi kusema Kashasha ni mahiri katika kuchambua soka.
Yule ni mchambuz wew umependa uchambuz Wake Ila Yuko mbion kua kibogoyo maana midomo imeanza kubonyea ni I Shara ya mapengo## jokesYaan kwa nini asipewe taiga stars, yaan akichambua Mpira mm naskia raha
Timu Ipo InachezaImeishia wap hii timu
Ligi ganTimu Ipo Inacheza
Bench la ufundi siyo wote ni makocha ujue pia hili..!Sio kila mchambuzi wa soka anafaa kuwa kocha
Huko Wilaya Ya JoketiLigi gan
Ya kwako pia imenipendeza na imenifanya niaangalie mara mbili mbiliNimeipenda avatar yako
Toa up.uuzi wako hapa kila mtu anachangia kile anachoona kina faa...don't tell what I can or I can't do stupid...alafu potea hakuna mtu amekuleta hapa mbwisye ww
Hakuna mtu amekualika kwenye comment yangu....usijipendekeze....hilo swala la freedom without limitation...kawafundishe watoto wako....na ndugu zako huko kijijiniFreedom without limitations. Hakuna mkuu. Ukiongea kitu irrelevant kubali. Unyenyekevu Sio udhaifu.
Embu fatilia yaani ana meno yoteeeYule ni mchambuz wew umependa uchambuz Wake Ila Yuko mbion kua kibogoyo maana midomo imeanza kubonyea ni I Shara ya mapengo## jokes
Henry naye yatamshinda,mic ni tofauti na touch lineUingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United
Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....
aibu tupu huko kaacha