Sanaaaaa,hata kuucheza najua vilevile.
Namba ninazozimudu uwanjani ni kila,5,7,9.
Mwalimu wangu wa michezo alipenda kuniita kiraka.[emoji5]
Heshima kwako mkuu,nashukuru bado unakumbuka hili.Huyu jamaa nilimkubar kwenye ile mechi BRAZIL V/S GERMAN mtu alikula week...jamaa aliitabilia mabaya brzl....ni nomaaa....sema hajapata shavu huko majuu
Hutaki acha mkuu,halafu hayakuwa maelezo yako.[emoji3][emoji3][emoji3], beki tano, hii kali
Hutaki acha mkuu,halafu hayakuwa maelezo yako.
[emoji39] [emoji39] [emoji5]huwa navutiwa sana na wadada wanaopenda michezo hasa mchezo wa soccer
Daaaaahh [emoji17] [emoji17] [emoji17][emoji39] [emoji39] [emoji5]
I wish hubbie awe mpenda soka na awe anaweza kulichambua haswaaaa.
Kiasi tukiwa home tunacheki game hakuna haja ya kuangalia wachambuzi wanasema nini.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe hupendi mpira?Daaaaahh [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nimeshakosa kigezo muhimu zaidi [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4][emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe hupendi mpira?
Ajajajajaaaaa
Ila una kigezo kingine muhimu pia,akili kubwa.
Heheeeee [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4]
Sishabikii mpira, nashabikia Madrid..
Yani nafuatilia tu pale Madrid akiwa anahusika.!! So ligi pekee ninayofuatilia ni la liga! na UEFA nafuatilia kwasababu tu El Galacticos wapo, wakitolewa ndio basi sina mpango nayo..
Hapa bongo ndio kabisa hata kichuya sijui anachezea timu gani, naskia skia tu [emoji23] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaona sasa...tupo pamoja huko Madrid.
Ila kwa jinsi nikujuavyo kupitia humu I can tell uko busy sana,hivyo huwezi kufuatilia mpira in general.
Lol,Kichuya ni Simba bwana...ila hawana mpango hao.
Njoo Yanga ndio mambo yote ktk mpira kibongongo.[emoji12]
Duh umetisha. Mimi mpaka leo bado nasakata boli mbaya. Kuanzia baba yangu, kuna kaka yangu alikua extraordinary ila alipenda masomo hakutaka kucheza mpira wa kulipwa licha ya maofa kibao ya nje na ndani. Unampata Makocha kaka yake Ali Mayay ex player wa Yanga? Huyu jamaa ni fundi hasa sasa ndiye nilikua na double naye mbele. Hatare hyo acha kabisa!Sanaaaaa,hata kuucheza najua vilevile.
Namba ninazozimudu uwanjani ni kila,5,7,9.
Mwalimu wangu wa michezo alipenda kuniita kiraka.[emoji5]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wow kumbe tuko wote chama kubwa El galacticos! At least we have something there in common..
Alafu kipindi niko katoto kadogo enzi za kina Peter Manyika mtaani kwetu mtaa mzima walikuwa wanashabikia Yanga, so na mimi kipindi hicho nilifuata mkumbo.. Ila ukubwani huku naona mpira wa bongo siuelewi elewi..
Ila kusukuma kandanda niko vizuri unaweza kudhani pacha wake cr7 maana mpaka mikogo ile ya upigaji faulo huwa namkopi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaah basi hicho ni kizazi cha soka kama akina Julio n.kDuh umetisha. Mimi mpaka leo bado nasakata boli mbaya. Kuanzia baba yangu, kuna kaka yangu alikua extraordinary ila alipenda masomo hakutaka kucheza mpira wa kulipwa licha ya maofa kibao ya nje na ndani. Unampata Makocha kaka yake Ali Mayay ex player wa Yanga? Huyu jamaa ni fundi hasa sasa ndiye nilikua na double naye mbele. Hatare hyo acha kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kumung'unya maneno bwana...once a Yanga?...
Heheeeeee
Mimi nilianza kuipenda Yanga rasmi mwaka 2000 nilikuwa darasa la kwanza hapo,nilikuwa napenda sana kusoma magazeti.
Sasa siku moja nikakutana na habari ya Yanga...kichwa chake tu cha habari kilinisisimua sana.Hadi leo sisahau...kilisomeka
"Yanga yawasha Indiketa"
Halafu pichani alikuwepo Said Maulid 'SMG',eeeh bwana kuanzia pale nilikata shauri la kuwa shabiki wa Yanga rasmi.
Hapo kabla miaka ya 98/99 mama yangu mdogo alikuwa anapenda sana kuniita "Wewe shabiki wa Yanga"...alinijenga kwa kweli.
Guess what?Mamangu mdogo ni shabiki wa kutupwa wa Yanga na mimi ndiye afisa habari wake.
Kukiwa na game anataka nimpe updates zote na nini...[emoji12]
Ajabu baba yangu kipenzi ni shabiki wa Simba,ukitukuta tunavyotaniana utadhani hawa watu ni washkaji na sio baba na mwana.
Ila aliwahi kuniambia roho ilimuuma sana alipogundua mwanae kipenzi ni shabiki wa Yanga...club asiyoipenda maishani!
Yalaaaaaah itabidi siku moja tuwe ktk pitch tunyooshane...tena ndani ya uzi wa Madrid.
Can you imagine that?
[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Doh! Pole sana. Wa kitambo kiaina tumefaidi.Daaaah basi hicho ni kizazi cha soka kama akina Julio n.k
Huyo kaka simpati mkuu,si unajua sisi wa vizazi vipya tena?
Hao akina Ally Mayay nawasikia tu.
Ila kama kuna mtu ninayetamani ningekuwepo enzi zake basi ni Edibily Lunyamila.
Nahisi nimekosa mengi sana.
Sadly,hukuielewa aya yangu ya mwisho...subiri nitakuelewesha private.Duuuuuuhh that means umekuwa mwanajangwani for 16 yearrrrsss [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nimeipenda hiyo kuwa timu pinzani na Mzee! Hahahah, faida yake siku mfano simba wakiwafunga unakuwa una jirariji "dah angalau mzee naye leo afurahi" [emoji23]
Mimi ule uzi wa Madrid huwa nauogopa naupita kama siuoni coz nikianza kuufatilia nitakuwa addicted fasta! Maana hili chama nalipenda mpaka basi..