Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Kashasha ni mchambuzi wa kiwango cha juu sana hata lugha anayotumia huvutia kusikiliza. Dr.Leaky kwa huyu jamaa atasubiri sana.
Umeona eeeh?Kashasha habari nyingine bwana.
Kumbe yupo TBC?Hata sijui maana TBC kwangu labda kombe la Dunia.
 
Hivi huwa anatangaza kwenye mechi za ligi kuu?
Dah
 
Sadly,hukuielewa aya yangu ya mwisho...subiri nitakuelewesha private.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]

Duuuuuhh nimesoma tena kama mara nne hivi ndio nimeelewa imebidi nijicheke mwenyewe hahahahaha
Humu JF ukiona neno 'uzi' akili inatafsri kitu kimoja tu, thread.. But nimekusoma sasa hahahah

Yap, inabidi siku tufanye hivyo tukutane pitch tunyooshane ndani ya uzi wa madrid [emoji3]
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Take it easy...I was like damn!
Na nilivyocheki mida ile nikajua usingizi ulichangia.

Sure,we must....
 
Siyo mtangazaji namna ile kama tulivyozea kuwasikiliza akina Charles Hillary enzi hizo.

Yeye kazi yake ni kutoa ufafanuzi, tafsiri, maoni ya kitaalamu kila anapoombwa na mtangazaji mkuu wakati wa matukio makuu au mwenendo wa mpira kwa ujumla. Tofauti na wale wanaotoa maoni au uchambuzi wakati wa mapumziko.

Ukiwasikiliza unaweza ukafikiri watangazaji wawili wanatangaza kwa pamoja na kama unaangalia mpira kwenye runinga unapata majibu saafi ya kwa nini mpira upo hivi leo.
 
Naunga mkono hoja,namkubali sana mwalimu Kashasha...
Alinikosha sana kwenye kombe la duania mwaka juzi,kiasi mechi ambazo hakuwepo zilikosa msisimko kwangu.
Nifah huwa unasisimka pia??
 
duuh,2000 la kwanza!..nilikuwa A level
 
Uingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United

Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....

aibu tupu huko kaacha
Valencia ina matatizo yake aisee, hata neville alipoondoka bado inazingua tu
 
Muone vile...wivu tu!
JF ni jukwaa huru,tunajadili chochote na popote.
Kaanzishe Forum yako upangie watu cha kujadili,ila hii ya Max tuache tufanye tutakavyo as hatuvunji sheria.
Hulali eee!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Halafu ulisema una demu sijui mchumba?
Hadi leo hujaoa?
Duuuuh!
Nimekushangaa kama ulivyonishangaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
acha kunichimba nifah,usitake nikwambie ukweli,huwezi jua kesho kuna nini!
 
Muone vile...wivu tu!
JF ni jukwaa huru,tunajadili chochote na popote.
Kaanzishe Forum yako upangie watu cha kujadili,ila hii ya Max tuache tufanye tutakavyo as hatuvunji sheria.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimekumbuka huu Uzi..

It was epic [emoji4] [emoji23]

#TheBold's
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimekumbuka huu Uzi..

It was epic [emoji4] [emoji23]

#TheBold's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby wewe sio mzima Wallah!
Dah nimecheka sana.
Asante kwa kumbukumbu hii mujarab.
Tumetoka mbaliiii [emoji12] [emoji7] [emoji8]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby wewe sio mzima Wallah!
Dah nimecheka sana.
Asante kwa kumbukumbu hii mujarab.
Tumetoka mbaliiii [emoji12] [emoji7] [emoji8]
Kama kawaida yako toka kitambo mtu akitugusa tu, unamrushia maguruneti..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

#TheBold's
 
Kama kawaida yako toka kitambo mtu akitugusa tu, unamrushia maguruneti..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

#TheBold's
Kuna pipo zina wivu wa kikuda sana,tunachit chat kwa raha zetu anaingilia na kutupangia pa kuchatia.
Ni kukosa ustaarab.
Mtu wa hivyo lazima apate stahiki yake [emoji135]

#TheBold's baby [emoji132]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…