monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia za kweny Chama chake anazihamishia kwenye timu yake.Mwalimu Kashasha yupo vizuri mno.
Manara yule kuropoka kwingi mno alafu linapokuja suala la simba kwake, atazikwepa facts ilmrad aitetee simba.. Mtu km huyo si mchambuzi mzuri..
Mchambuzi haitakiwi ufungamane na upande wowote
WACHAMBUZI SASA WANAGAWANYIKA
WENGINE WANASEMA HAJI MANARA YUKO SAHIHI NA WENGINE SHAFFIH DAUDA YUKO SAHIHI
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
MWL ALEX KASHASHA NAE KAJA NA LA KWAKE JUU YA GOLI LA OBREY CHIRWA
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116]
BONGO LAND
BONGO FOOTBALL
Hahahahaha
Chama gani tena?Tabia za kweny Chama chake anazihamishia kwenye timu yake.
KijaniChama gani tena?
Yan hilo jina ndo limeniacha hoi " ZERO STANDARD RETURN GOAL" alaf kuna "BREAK WAY PASS"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zero standard return goal
Mwl Kashasha ni mwalimu wa soccer amesomea, kuna kipindi aliwahi kwenda Brazil kusoma course ya ukocha japo sikumbuki mwakaBinafsi namkubali sana Mwl Kashasha anavyouchambua mpira. Amesomea wapi mambo ya soccer au ni kipaji tu Mungu amempa.
Huyu ndiye mchambuzi mahiri zaidi nchini, haina unishi. Wa zamani na sasa, huyu ndiye anaongoza, anajua kuuchambua mpira.View attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.
Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?
Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Hana mahaba na Manu kwenye uchambuzi, yeye a spade is a spade! Sasa ukimsikiliza Jamie Gallagher, yeye ni Liver mbele hata iweje, ataponda timu pinzani.Uingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United
Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....
aibu tupu huko kaacha
The Bold tunakusubili kule kwenye mifeleji ielekeayo Ethiopia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumbuka huu Uzi..
It was epic [emoji4] [emoji23]
#TheBold's
Angekuwa Mwalimu Kashasha...angeanza " unajua football is possessing footwork square determination.. Namaanisha wanakuwa wafanya square pass kwa kutumia middle fringes...."