Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Hata mm namkubali sana, yaan anaeleza kitu real mpaka unakubali.

Mimi kuna vitu vingi nimevijua kupitia kwake hasa Yale makosa madogo yanayofanyika uwanjani, bila kujua ni kosa au la! Nilienjoy sana world cup ingawa hakuchambua mechi zote, all in all kashasha is the best.
Hiyo miguu kwenye avatar ni yako? Nijibu nina jambo muhimu la kukuambia
 
Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
[emoji5] [emoji5] [emoji119] [emoji119]
 
Mzee wa ile inaitwa "back flip header"ujanja mwingi yule nae..

Miswahili bhana! Yaani badala ya kuzidi kumtia moyo Mzee wa Watu kwa Kazi yake Watu wanaanza tena ' Kumkandya ' kwa Wivu wao tu wa Kipuuzi. Tanzania ukijilikana tu kidogo utakoma kwani Watanzania wengi huwa wanapenda kuona fulani akibakika pale pale na dhiki / shida zake ili ' wachekane ' vizuri. Tubadilike!
 
Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
Alikuwa ni mkufunzi tu pale Chuo Cha Ualimu Korogwe nadhani ana diploma ya michezo ila anapenda sana football
 
Kuikubali Kazi Yake Inatosha Sana
Mambo Ya Wasifu Huenda Yakawa Kama Watendaji Wa Serikali Ana PhD Halafu......Aibu
Utasikia mtu anajiita Dr, Prof, Injinia lakini uwezo wake ni mdogo na mambo yake ni hovyo kabisa hata kuandaa ka movie kadogo tu anashindwa halafu inakuwa aibu tupu kama haka kasegment kalikoisha jana
 
naomba cv ya mwalimu kashasha
Siifahamu Cv yake ila dada yangu aliniambia Kashasha alikuwa mwl wao chuo cha ualimu Korogwe miaka ya 90 na baadaye alihamia Vikindu Ttc miaka ya 2000! Anasema hata chuoni alikuwa akifundisha zaidi michezo! So, huenda huyu mzee ni mbobezi katika mambo ya michezo
 
Je kuna timu iliyowahi kufundiishwa na Mwalimu Kashasha?
 
Namkubali sana Mwl. Alex Kashasha, mbali na kuwa mchambuzi wa Soka ni Mwlm kitaaluma kwani mie amenifundisha Shule ya Msingi Kabarimu huko Bunda Mara. Lakini pia alikuwa one of my favourite football player akichezea Timu ya Ujenzi Bunda. Salute kwako Mwalim!
 
Kuna tofautiii k
View attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.

Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.

Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?

Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuuuchambua Mpira na kucoach mpira
 
nalijua soka siwezi kusema Kashasha ni mahiri katika kuchambua soka.
 
Namkubali sana Mwl. Alex Kashasha, mbali na kuwa mchambuzi wa Soka ni Mwlm kitaaluma kwani mie amenifundisha Shule ya Msingi Kabarimu huko Bunda Mara. Lakini pia alikuwa one of my favourite football player akichezea Timu ya Ujenzi Bunda. Salute kwako Mwalim!
Alicheza namba ngapi?
 
Anadanganya Sana wasiojua kidhungu,lakini sio mbaya anajitahidi kupamba na kuboresha uongo wake iwe Kama kweli,kama hadithi za utamu kolea,Asante kamarada enock bwigane kwako Swed Mwinyi.
 
Back
Top Bottom