Mwalim,muda na pesa anazopata kama mshahara/usanii wa sayansi ya Tanzania

Mwalim,muda na pesa anazopata kama mshahara/usanii wa sayansi ya Tanzania

haki na usawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
485
Reaction score
138
Mfano mwalimu wa hesabu anapumnzika lini? maswali matatu wanafunzi hamsini na asahihishe mpaka lini?
Na je akirudi nyumbani afanye nini na kesho anakipindi na je ni sawa na mwalimu wa kiswahili/uraia/geograph/english/history?
Naomba walimu wa hesabu toeni swali moja na lisahihishwe na wanafunzi kwa kuwapa majibu hakuna haki na usawa katika hili kwani wengine aya kurasa mbili tiki moja je ni sawa? na je walimu wa hesabu kwanini na wao wasitoe tiki moja?
Na ikiwezekana hata wale wa sayansi nao watoe tiki moja ya pata maana hatutaki wanasayansi kila kitu siasa na hakuna haja ya kuwa na watalaam wa sayansi na je ni wanasiasa wangapi watoto wao wamesoma udaktari/injinia/technologia na mimi naona wanajua yote rahisi kwa hiyo na hii tukiendelea nalo watajua umuhimu wa somo na utafauti wake na pia watajua hesabu ni sayansi na sayansi ni hesabu
 
Back
Top Bottom