Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
Jamani KOVA upo wapi mzee wa matukio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jana Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kisukuru iliyopo hapa Tabata- Kimanga, Dar es Salaam, amefumaniwa LIVE akiwa anavunja mari ya sita na mwanafunzi wake wa Darasa la sita.Baada ya wapenda haki kutonywa na kuzunguka nyumba yake ambayo ni moja kati ya nyumba mbili mpya zilizojengwa shuleni hapo kwa ajili ya walimu, alikurupuka na kukimbia huku akimuacha binti huyo aliyeachwa kama alivyozaliwa akijaribu kuvaa chupi yake. Mwalimu huyo ambaye inasemekana ni tabia yake ya siku nyingi amekimbia na sasa ninapo leta uzi huu walimu walikuwa kwenye kikao wakijadili zahama hii.
Jamani naombeni kupitia uzi huu, wale walinda amani wetu na vyombo vinavyohusika na suala zima la HAKI ZA BINADAMU mfike shuleni hapo mida hii kufuatilia suala hilo kwani inasemekana kuwa Mwalimu Mkuu na mwenyekiti wa mtaa wanajaribu kulifunika kwa kila hali.
NAWASILISHA.
cc: KOVA
BISIMBA
CHADEMA
CHRC