Quote
Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another. For Man makes himself. It is his ability to act deliberately, for a self-determined purpose, which distinguishes him from the other animals. The expansion of his own consciousness, and therefore of his power over himself, his environment, and his society, must therefore ultimately be what we mean by development
mpanda merikebu
Ningeshauri serikali isitishe mipango ya kuweka mikataba mipya effectively ili sheria mpya itungwe yenye kuhakikisha kuwa maslahi ya Taifa yanapatikana kwanza. Kisha, mikataba iliyopitishwa ichunguzwe upya, itenguliwe na kisha kuandika upya.
Sioni kwanini viongozi wa serikali wanakubali kupitisha mikataba ambayo haina at least 50% ya faida inabakia Tanzania. Hata kama hawa Barrick na makabaila wengine watatengeneza barabara au kujenga hospitali nk, hiyo wafanye kwa hiari yao wenyewe, cha msingi ni kuwa serikali inapata walau nusu ya kile kilichovunwa.
Tuliambiwa kuwa adui wa maendeleo ni umasikini, ujinga na maradhi. Evidently wakati huo ufisadi ulikuwa haujagunduliwa! Ufisadi huu wa 10% kwa viongozi ndio unaotumaliza kuliko ujinga, umasikini na pengine maradhi!
MADELA WA- MADILU
Kwanza:.... Wafadhili wa nje wanatoa fedha wengi kwa nia njema, nia njema pekee haisadii kama sisi wapokeaji tumejaa mawazo yenye nia ya kujinufaisha katika ubinafsi wetu.
Pili:.....Sisi watanzania hatuko tayari kusema ukweli kwamba, wengi wetu kama siyo wote tumejaa mawazo ya wizi kwa mfano wa wizi alio ufanya MH Former PM Lowassa.Tunaiba kwa sababu tunadhani kuna kundi la watu waitwao wafadhili ambao kazi yao ni kujazia pengo tulilo liacha kwa wizi.
Tatu:......Wafadili wa kimataifa hawana uwezo wa kufanya ufisadi Tanzania bila sisi Watanzania wenyewe kuwaruhusu kwa moyo mmoja kufanya hivyo.
From:Re: Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9722
Nimevutiwa zaidi na vipengele vitatu!
Kwanza: Nia njema yao tunaiharibu sisi wenyewe, nakubalina kabisa kuwa hapa tatizo ni la kwetu. Nilifikiri wangetakiwa wawe na nia njema iliyozidi hiyo kwa Vipi? Waone upuzi wetu na hivyo wasiiedelee kuwapa wapuuzi misaada. Swali kwani nini uwepe wapuuzi na wabinafsi Misaada huku ukijua fika ni wabinafsi, waharibifu nk? Kama sio kuwa unataka kuwakamua kifisadi? Nia njema ya kweli an kubwa kuliko hiyo unayosema ingekuwa ni kuwakatia na kuwanyima miasaada;Kwangu hiyo ndio nia njeama na sio kuendelea kutupumbaza kwa faida yao!!
Pili: Tunaiba na kutawanya hivyo maana wafadhilili watatupa zaidi na zaidi..The same argument kama wafadhili wanajua tunafikra za kijinga namnahiyo na wanania njema sana na sisi..wangetunyima misaada tu maana tunafikra za kijinga..kama wao sio mafisadi wanatupa miasaada ya nini ..kama sio kutonyonaya ndani ya ujinga wetu? Ili nisiwaite mafisadi watunyime Misaada.Kwani wakitunyima Nini kitatokea? Tuzidi kuwa wajinga au Kuna uwezekano wa kumaka. Na kama kuna uwezekano wa kuamaka na wao wanajua..Ni dhahiri hawataki tuamke ndio maana hawataupuka kuitwa mafisadi kamili.
Tatu: Hawawezi kufanya ufisadi wa kimataifa bila sisi kuwaruhusu. That is right na hata wao wanjua hivyo. Kama wanajua kuwa sisi ni majuha na bado wanatumia ujuha wetu kututumia kutekeleza ufisadi wao ..mimi nachagua kuita kitendo hicho ufisadi. Naningependa watanzania wajue wanaonekana hivyo,wanafaa kutumika, haweheshimiki, wanachezewa na hivyo waamke kwenye unyonge huo!!Lakini hao wanajua udhaifu wetu na kuutumia huku wakisema wana nia njema na sisi..Sioni kwanini waisitwe mafisadi.
Kama Tunajeuri ya kupingana na Ufisadi Ni rahisi tu! Tuungane nchi nzima tuwaeleze waelewe kuwa tunawaita Mafisadi. Unajua kwanini tunaogopa sisi na viongozi wetu kuona kama ninavyoonyesha na kwanini hakuna wa kufungua mdomo, Hata rais na kuwaeleza ukweli? Sisi ni wanyoge Tumeganda fikra na maono,hatuwezi kuishi bila kuuedekeza ufisadi wao. tunajifanya sio ufisadi, tunarembesha sauti na sentensi tusije kuharibu mahusiano haya ya kifisadi.. Wamefanikiwa kutufanya SOKO!!
""Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another."""
Ndugu wana JF ni kweli mwalimu alikuwa among the best!
Lakini, Can we have our own ideas? tusitegemee sana maoni yake, mwenye alipenda tujitegemee!!
Zomba una habari kwambva soon JKN atatangazwa Mtakatifu ?
Si ndio maana yake, nimesoma mapope wenye damu tele mikononi mwao, nimesoma "mungu" mwenye kuruhusu kubakana, ndio kanisa hilo sioni ajabu.
Una uhakika ndugu Zomba ?So Mwalimu hafai kuwa Mtakatifu ? Biblia inasemaje juu ya wadhambi ? Kristo hakuja kwa ajili ya watakatifu bali wadhambi .Mwalimu kama mtu alikuwa na makosa ya kibinadamu lakini si ufedhuli kama unavyo taka tuamini .