Elections 2010 Mwalimu Aliyenitumia SMS Kumponda Dr. Slaa Asema Mambo Hayaeleweki

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Kuna Tcha fulani huko jimboni kwa Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand aliwahi kunitumia SMS ya propaganda kuwa Dr. Slaa si kitu si lolote.

Hivi majuzi nilizungumza naye kwa simu na kunieleza kuwa "mambo yenyewe hayaeleweki na sijui hata kama nitapiga kura maana tunafunga chuo tarehe 4 November"

Jamani CCM mwaka huu kunani??
 
mbona hueleweki wewe hebu soma ujumbe wako halafu ujaribu kufikiria kama umefika kwa kadamnasi na kueleweka
 
mbona hueleweki wewe hebu soma ujumbe wako halafu ujaribu kufikiria kama umefika kwa kadamnasi na kueleweka


Labda wewe ni mgumu wa kuelewa.

Kwani wewe hujui kama walimu ndiyo wasimamizi wa kura za CCM?

Sasa anaposema mambo hayaeleweki kuna cha kuuliza tena hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…