LGE2024 Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM aandikisha wapiga kura Sengerema

LGE2024 Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM aandikisha wapiga kura Sengerema

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM anaandikisha wapiga kura.

photo_5785285828220667742_y.jpg



 
Mwalimu na Kiongozi wa CCM amekutwa akiandikisha wapiga kura Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu

 
Kama ndo hivyo CHADEMA, wamechemka nchi hii waandikiahaji waliowengi ni walimu na kwasiku 30000 ,hizo kanuni Lema anazisema hazisaidii

Uchaguzi gani wapiga kura wanaandikishwa bila kupiga picha

Yale Yale ,wapigaji kura wanaweza piga maeneo mengi kadri iwezekanavyo

Mfano ,CHADEMA ikitaka ianze kuhamisha wapiga kura kutoka eneo Moja kwenda jingine ....n
 
Mwalimu Mpwayangu yeye anatoaje maoni yake kwenye hilo
 
Jamaa wachadema watakamatwa kwa kuvuruga zoezi la uandikishaji
 
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM anaandikisha wapiga kura.

Endeleeni kufichua kila uchafu
 
Hivi vyama vyetu kuna namna vinashindwa kueleweka na wananchi kwasababu ya kulazimisha kwenye kila kitu paonekane pana njama.

Ni Lema huyuhuyu, pamoja na Katibu Mkuu Mnyika waliosema CCM haitaki kuandikisha wapiga kura, wakasema serikali imekaa kimya ili watu wasipate taarifa ya uwepo wa zoezi hili.

Leo uhamasishaji umefanyika na watu wameanza kuandikishwa tunazuia zoezi kwasababu mwandikishaji ana vinasaba na CCM.

Najaribu kujiuliza maswali kadhaa
  1. Huyo mwandikishaji atafanya mbinu gani itakayoipa CCM ushindi kupitia zoezi hili la uandikishaji?
  2. Hiyo nafasi ya uandikishaji aliipata kwa kufuata utaratibu uliowekwa ama hakufuata (nafahamu kuhusu uwepo wa kesi ya kupinga TAMISEMI wasisimamie uchaguzi, lakini hadi sasa mahakama haijatoa maamuzi, kwahiyo utaratibu bado ni uleule)
  3. Katika vituo vingine waliopewa hiyo kazi ni makada wa CCM pia? Kama sio, je CHADEMA imelalamikia pia uwepo wa waandikishaji walio na mahusiano na vyama vya upinzani? (Hakuna mwananchi alie mlengo wa kati, kama sio Chama tawala basi atakua upinzani hata kimoyomoyo.)
  4. Ni watu gani ambao wakipewa hili jukumu tutakua na imani nao.
 
Back
Top Bottom