Mwalimu anapatikana

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
Kama unahtaji Mwl wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar tuwasiliane kwa
0658825141 Mwl Kimambo nipo Magomeni
 
Ticha noma sana huyu mimi ninamjua mno

Mwalimu wa kiingereza anajitambulisha kwa kiswahili sasa tutakuwekaje kwenye mizani

hivi wewe ni ticha wa somo la ENGLISH COURSE

Biashara matangazo ndg yangu ungetoa vitu kwa undani ungeepusha usumbufu

Acha waje wadadisi humu wakukere kwa maswali ya hapa na pale
 
Please drop me a line (PM) with details.

Thanks
 
Atoe cv mkuu asije akawa ndo wale wa ...the planted water.ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…