Speculator
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 4
Tunahitaji mwalimu mwenye uzoefu wa course hizo hapo kwa level ya diploma 4 au certificate kwa intensive training ya mwezi na nusu ili kujiandaa kwa exam june mwaka huu, malipo ni kuongea na ya kuvutia, na bonus itakuwepo kulingana na matokeo ya manafunzi. karibuni sana, any one interested PM or piga simu 022-2180274 masaa ya kazi -Kariakoo - Dar es salaam