N neto mwakyoma New Member Joined Apr 6, 2013 Posts 3 Reaction score 1 Apr 7, 2013 #1 Mwalimu anayetaka kufanya kazi ya ualimu mikoa ya mwanza, bukoba na kagera kutoka mikoa ya mbeya, ifinga na rukwa tafadhri naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo; 0682291333,0755117828
Mwalimu anayetaka kufanya kazi ya ualimu mikoa ya mwanza, bukoba na kagera kutoka mikoa ya mbeya, ifinga na rukwa tafadhri naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo; 0682291333,0755117828
L Luraja Member Joined Oct 15, 2012 Posts 27 Reaction score 4 Apr 7, 2013 #2 Hata wewe ni mwalimu? Kama ni kweli wanafunzi watafeli sana.Hivi kuna mkoa wa Bukoba na Kagera.
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,028 Apr 7, 2013 #3 Luraja said: Hata wewe ni mwalimu? Kama ni kweli wanafunzi watafeli sana.Hivi kuna mkoa wa Bukoba na Kagera. Click to expand... Tafadhali napenda kujua umbali uliopo kati ya hiyo mikoa miwili kwenye red
Luraja said: Hata wewe ni mwalimu? Kama ni kweli wanafunzi watafeli sana.Hivi kuna mkoa wa Bukoba na Kagera. Click to expand... Tafadhali napenda kujua umbali uliopo kati ya hiyo mikoa miwili kwenye red