Mwalimu anayetaka kuja babati,manyara

Mwalimu anayetaka kuja babati,manyara

cosmetic

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
20
Reaction score
0
Mi ni mwalimu sekondari halmashauri ya babati nahitaji kuhamia manispaa ya arusha aliye tayari 0764933405
 
Hivi haya mambo ni sekta zote ama ni kwa walimu tu make naona kama walimu wanapata shida sana,bila kubadilishana hauami as if uko kifungoni! duh,sheria za kikoloni hizi.. na CWT wako kimya wanakula pesa ya chama,this country bwana!
 
Back
Top Bottom