C cosmetic Member Joined Jan 15, 2014 Posts 20 Reaction score 0 Jan 16, 2014 #1 Mi ni mwalimu sekondari halmashauri ya babati nahitaji kuhamia manispaa ya arusha aliye tayari 0764933405
Mi ni mwalimu sekondari halmashauri ya babati nahitaji kuhamia manispaa ya arusha aliye tayari 0764933405
Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Jan 16, 2014 #2 Hivi haya mambo ni sekta zote ama ni kwa walimu tu make naona kama walimu wanapata shida sana,bila kubadilishana hauami as if uko kifungoni! duh,sheria za kikoloni hizi.. na CWT wako kimya wanakula pesa ya chama,this country bwana!
Hivi haya mambo ni sekta zote ama ni kwa walimu tu make naona kama walimu wanapata shida sana,bila kubadilishana hauami as if uko kifungoni! duh,sheria za kikoloni hizi.. na CWT wako kimya wanakula pesa ya chama,this country bwana!