Mwalimu auliwa na kuchomwa moto na wazazi kwa sababu wanafunzi wamefeli mitihani

Mwalimu auliwa na kuchomwa moto na wazazi kwa sababu wanafunzi wamefeli mitihani

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


Unyama wa Wakenya unaendelea kupanda viwango kila siku. Baada ya Mchungaji kumuua mkewe kanisani mbele ya waumini, hata kabla hatujafuta machozi, Wakenya waunganisha tukio lingine la kinyama. Hivi thamani ya maisha ya binadamu huko Kenya yakoje?

RIP teacher

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jambo hili limenitia hasira sana.. mama ya mtu anauawa na watu kinyama hivyo kwa sababu zisizo na msingi wowote
Ila wakenya wamezidisha ukatili sana, ukifuatilia mauaji yanayofanyika Kenya, huwezi amini kama wakenya wamefikia unyama kwa kiasi hiki, karibu kila siku watu wanauana kwa sababu za kijinga sana. Kwa ufupi wakenya inaonekana wana "frustration" nyingi sana za kimaisha, kama walivyo " Black Americans" huko USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya kuua mmefanya ni hududma ya msingi kuitoa kwa watu!

Mnachukulia roho za watu kama njugu..ndy mana wale Alshababu wanawatungua sana kisa ya laana kama hizi!
 
Tusiisemee Kenya kwa mauaji ya hovyo ikiwa hapa kwetu watu wanachinjwa hadi familia nzima,wamama wanaua waume zao kikatili,nyumba zinachomwa moto zikiwa na watu ndani,watoto wadogo wanauliwa kinyama na watu wanatupwa kwny viroba bila idadi kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiisemee Kenya kwa mauaji ya hovyo ikiwa hapa kwetu watu wanachinjwa hadi familia nzima,wamama wanaua waume zao kikatili,nyumba zinachomwa moto zikiwa na watu ndani,watoto wadogo wanauliwa kinyama na watu wanatupwa kwny viroba bila idadi kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hutumii busara katika kujenga hoja?. Tunaposema Marekani ni tajiri, haina maana kwamba hakuna masikini, tunaposema Africa ni masikini haina maana kwamba hakuna matajiri, tofauti ni wingi wa watu matajiri ukilinganisha na watu masikini.

Haina maana kwamba Tanzania watu hawauliwi au kuuana, haina maana kwamba Tanzania hakuna watu wenye kupenda na kuendekeza ukabila kama Kenya, tunachozungumza ni "Frequency" ya hayo mambo katika hizi nchi. Kenya wamezidi sana kuuana hovyo hovyo, ndio sababu kidunia, Kenya ni miongoni mwa nchi hatari zaidi kiusalama, kwa mujibu HRW.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom