Mwalimu bingwa wa Chemistry madam Opiyo ameacha kazi Shule ya Sekondari Thaqaafa

Mwalimu bingwa wa Chemistry madam Opiyo ameacha kazi Shule ya Sekondari Thaqaafa

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Madam Opiyo bingwa wa Chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za Mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam Opiyo.

Kwa wanaomfahamu wanaelewa nachosema, ni mchapakazi haswa.

 
Madam opiyo bingwa wa chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 Thaqaafa secondary ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam opiyo. Kwa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema, ni mchapakazi haswa.
ameacha kazi mjaluo
 
Mwanafunzi wake petero magoti ashakua hadi katibu wa marais wawili, na sasa ni DC , yeye bado anasaka kazi afundishe chemistry , maisha kweli hayana usawa
 
Mwanafunzi wake petero magoti ashakua hadi katibu wa marais wawili, na sasa ni DC , yeye bado anasaka kazi afundishe chemistry , maisha kweli hayana usawa
Kwani lazima kila mtu awe DC bro? Acha ushamba.
Sasa akiendelea kufundisha kuna shida gani?
 
Madam opiyo bingwa wa chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 Thaqaafa secondary ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam opiyo. Kwa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema, ni mchapakazi haswa. 0763942410
View attachment 3112826
Sema huyu mama namfahamu personally hadi kwake, ana maisha yake ya kujiendeleza kiuchumi sidhani kama anaweza kutafuta tena watu wa kumpa kazi.
 
Back
Top Bottom