ameacha kazi mjaluoMadam opiyo bingwa wa chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 Thaqaafa secondary ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam opiyo. Kwa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema, ni mchapakazi haswa.
Kwani lazima kila mtu awe DC bro? Acha ushamba.Mwanafunzi wake petero magoti ashakua hadi katibu wa marais wawili, na sasa ni DC , yeye bado anasaka kazi afundishe chemistry , maisha kweli hayana usawa
Sema huyu mama namfahamu personally hadi kwake, ana maisha yake ya kujiendeleza kiuchumi sidhani kama anaweza kutafuta tena watu wa kumpa kazi.Madam opiyo bingwa wa chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 Thaqaafa secondary ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam opiyo. Kwa wanaomfahamu wanaelewa Nachosema, ni mchapakazi haswa. 0763942410
View attachment 3112826