Itug
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 196
- 72
Hii bank viongozi wa chama cha waalimu, TSC na wahusika wengine wengi, walikuwa na dhumuni gani kuianzisha? Waalimu walikuwa na vyama vta kuweka na kukopa na vilikuwa(hata sasa vipo) kisheria kabisa!
Nimejaribu kufuatilia nikakuta wana matawi matatu Dar Es Salaam, mengine ni Mwanza, Morogoro na Mbeya. Kulikuwa na sababu gani kuwa na matawi matatu hapa Dar ilhali miji mikubwa kama Dodoma, Tanga, Arusha, hazina hata wakala?
Kwamba Dar kuna waalimu wengi mno kuliko kwingine? Na je mtu akiwa Arusha anataka huduma inambidi asafiri hadi Mwanza, Dar au Morogoro?
Kazi hii ya banking hapa Tz ina ushindani mkubwa kiasi hapa Tz, huduma zao zinafanya waalimu ambao ndio wamiliki wa bank hiyo pia kutokana sababu ya kujiunga na bank yao. Tumefuatilia mambo flaniflani kupitia bank hiyo nimejionea mambo mengi. Hasa kuhusu umakini wao (kupitia wafanyakazi wao), pia wanasema muda wa kazi ni saa 8:30 am hadi 5:00 pm lakini ukipiga sinu saa 10:00 am unakutana na auto-answer, ikimaanisha ofisi hazijafunguliwa. Ukipiga simu saa 4:00pm unakuta wamefunga (simu) nayo ni auto-answer. Jumamosi ndio tatizo kabisa!
Nashauri hayo matawi ya dar yafungwe libaki tawi moja, hayo yaliyofungwa yakafunguliwe Arusha Dodoma au Tanga!
Sijui waalimu au wateja wengine (kama wapo) wanapata usumbufu kiasi gani kwa huduma hii.
Kwanini chama kisingenunua mashamba na kuyawekea mifumo ya umwagiliaji, watu wakodishe walime?
Kwanini wasingefungua shule zao au vyuo vyao wawaajiri waalimu wenzao? Kwanini wasingeendelea tu na vyama vyao vya kuweka na kukopa!? Kwanini wasingekuwa na miradi ya kujengeana nyumba? Kwanini wasingewekeza kwenye sekta zingine zinazohisiana na kada?
Waalimu wengi ni waoga kwenye ufuatiliaji wa mambo, ndio sababu kubwa ya haya yote!
Ukiwa na mihemko usikoment! Punguza jazba jibu hoja kwa hoja, sio ugomvi.