Mwalimu Daraja IIIA naweza kusoma Shahada ya Elimu?

BG Seme

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
360
Reaction score
260
Mimi ni mwalimu grade IIIA.

Nimefanya kazi kwa miaka miwili, nataka kujiendeleza. Je, naweza kusoma shahada(BAED)?

Natanguliza shukurani kwenu.
 
Kwani umesoma form 6 na kufaulu masomo yako na je umeshaomba udahili TCU?
 
mature age entry imebadilishwa sikuhizi ni RPL Unaweza
 
huwez fanya mtihan wa f 6 kwanza au soma diploma au foundation certificate kwanza
 
iko hivi huwezi kwenda kusomea shahada bila kupitia dip kwa we form 4 na kuna njia mbili unaweza kuapply dip kwa kutumia Cheri cha uwalimu wa grade a au ukapiga five na six kwanza ndio ukasomee shahada. kama ni kweli una nia kasome mwalimu kwani muda ni sasa
 
iko hivi huwezi kwenda kusomea shahada bila kupitia dip kwa we form 4 na kuna njia mbili unaweza kuapply dip kwa kutumia Cheri cha uwalimu wa grade a au ukapiga five na six kwanza ndio ukasomee shahada. kama ni kweli una nia kasome mwalimu kwani muda ni sasa

Kwani umesoma form 6 na kufaulu masomo yako na je umeshaomba udahili TCU?

Ukifuata shauri hizi lazima utusue but changamka braza c unajua ma afisa elimu wetu wanazingua hasa vijijini.
 
iko hivi huwezi kwenda kusomea shahada bila kupitia dip kwa we form 4 na kuna njia mbili unaweza kuapply dip kwa kutumia Cheri cha uwalimu wa grade a au ukapiga five na six kwanza ndio ukasomee shahada. kama ni kweli una nia kasome mwalimu kwani muda ni sasa

AHSANTE SANA Dean of student
 
unaweza kwa kutumia njia mbili kutokea hapo 1. RPL 2. Foundation course. Ama vinginevyo fanya Diploma ya Education au fanya mtihani wa form six. ila options za mwanzo hapo juu, hasa RPL ni fupi zaidi
 
Hyo RPL ikoje mkuu?
 
unaweza kwa kutumia njia mbili kutokea hapo 1. Rpl 2. Foundation course. Ama vinginevyo fanya diploma ya education au fanya mtihani wa form six. Ila options za mwanzo hapo juu, hasa rpl ni fupi zaidi

naomba msaada kujua rpl ni nini.
 
Back
Top Bottom