Naaaam,
unaweza ndugu.
iko hivi huwezi kwenda kusomea shahada bila kupitia dip kwa we form 4 na kuna njia mbili unaweza kuapply dip kwa kutumia Cheri cha uwalimu wa grade a au ukapiga five na six kwanza ndio ukasomee shahada. kama ni kweli una nia kasome mwalimu kwani muda ni sasa
Kwani umesoma form 6 na kufaulu masomo yako na je umeshaomba udahili TCU?
iko hivi huwezi kwenda kusomea shahada bila kupitia dip kwa we form 4 na kuna njia mbili unaweza kuapply dip kwa kutumia Cheri cha uwalimu wa grade a au ukapiga five na six kwanza ndio ukasomee shahada. kama ni kweli una nia kasome mwalimu kwani muda ni sasa
huwez fanya mtihan wa f 6 kwanza au soma diploma au foundation certificate kwanza
unaweza kwa kutumia njia mbili kutokea hapo 1. RPL 2. Foundation course. Ama vinginevyo fanya Diploma ya Education au fanya mtihani wa form six. ila options za mwanzo hapo juu, hasa RPL ni fupi zaidi
unaweza kwa kutumia njia mbili kutokea hapo 1. Rpl 2. Foundation course. Ama vinginevyo fanya diploma ya education au fanya mtihani wa form six. Ila options za mwanzo hapo juu, hasa rpl ni fupi zaidi